Hizi ndizo bidhaa za Alikiba zinazotarajia kuingia sokoni hivi karibuni

  Share this

  Naamini mara kadhaa utakuwa umekutana na brands za mkali wa muziki wa Bongo fleva, Alikiba, iwe ni kitaani kwako au hata kwenye mitandao ya kujamii kuwaona wana wakitupia vitu kama T-Shits, Kofia vyenye logo ya Alikiba.

  Na ikakupa picha kamili kuwa mkali huyo now anadeal na michongo ya kutengeneza mavazi yenye logo yake na vitu kama hivyo, wala hujakosea, ni kweli kabisa ila unachotakiwa kufahamu ni kwamba mkali huyo kwasasa anataka kuwa serioius kinoma kwa upande huo.

  Kama uliwahi kukutana na T-Shirt, au Kofia sasa hivi usishangae kukutana na viatu, cover za simu na hata kinywaji chenye logo ya Alikiba.

  King Kiba amepiga story na Perfect255 na ametusanua mchongo mzima kuhusu mipango yake ya kuingiza badhaa zake hizo sokoni, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kumsikiliza King Kiba akifunguka.


  • Freestyle: Cheki Rayvanny alivyoumiza kwenye beat ya Up in the Air ya Rosa Ree

  Dondosha comments


  Share this