HUU NDIO MJADALA ALIO UANZISHA IDRIS SULTAN JUU YA KAULI TATA ZA CHID BENZ

  Share this

  Rapper Chidi Benz amezidi kuchukua headline kila kukicha baada ya kutoa kauli zake tata katika baadhi ya interview zake,sasa hivi karibuni kauli zake zimeanza kuwachanganya mashabiki wa muziki nchini akiwemo mchekeshaji na mshindi wa big brother Idris Sultan.

  Image result for chid benz

   

  Idris ameamua kufunguka kupitia mtandao wa Twitter leo kuwa rapper huyo sio wa kupewa interview na badala yake anatakiwa kupewa matibabu kutokana na hali yake kuonekana siyo nzuri.

   

  Na wadau mbalimbali wamecomment katika ukurasa huo

   

  Dondosha comments


  Share this