Huu ndio mlango mpya wa Mapenzi alioufungua Blac Chyna

  Share this

  Tupilia mbali mapenzi ya Rob Kardashian, Blac Chyna ndani ya mapenzi mapya na rapper Mechie.

  Tuna kama wiki hivi tangu kutokea kwa vurugu mechi kati ya Blac Chyna na Rob Kardashian, baada ya Rob kuposti picha za utupu za Chyna kutokana na sababu kubwa ambayo Chyna kuamua kuchepuka kwenye mahusiano yao.

  Newz ni kwamba rapper Mechie ameonekana kuwa amefall kwa mrembo Blac Chyna kwa kuchora tatoo yake shingoni ambapo inasemekana pia wawili hao wameshaonekana sehemu tofauti tofauti pamoja, kupitia akaunti ya Instagram Blac Chyna aliposti kipande cha video hiko akiwa na rapper huyo.

   

  Dondosha comments


  Share this