HUYU NDIO MSANII WA KWANZA KUINGIA KWENYE LABEL YA MKALI WA MASK OFF “FUTURE”

  Share this

  Baada ya mwaka mmoja kupita tangu atoke jela rapper True life amefanikiwa kupata record label mpya ambayo itakuwa ikimsimamia katika kazi zake,Rapper huyo ambaye mwenye umri wa miaka 41 ametangaza kupata label kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram “Today is a new beginning , I am proud to announce my new deal with Sony Epic and Free Bandz. When everyone else turned their backs on me. My brother @future was the only one who stepped up.”

  DJ G Logic/Ilya S. Savenok, Getty Images (1)

  Kikubwa zaidi msanii huyo yupo chini ya Record Label (Freebandz label)ya mkali wa Mask off (future)ambaye hivi karibuni alikuwa Dar es salaam katika tamasha la Castle light unlocks,Wakati akihojiwa kupitia kipindi kimoja cha redio nchini Marekani msanii huyo ameongea na kusema kuwa uhusiano wake na future ni mzuri kwasababu wamekuwa wote na hasa cousin Rico Wade yeye ndio alikuwa karibu sana na True life.

  Rapper huyo wakati akihojiwa na kipindi cha xxl mwaka mmoja uliopita alisema yupo katika maandalizi ya Albam mpya na mashabiki zake wategemee vitu vizuri kwasababu anajua nini wanchotaka

  Image result for rapper future and true life

   

  I’m working on an album. I know people want so much from me,” he said. “They expect so much from me. They’re like, ‘Right now, right now.’ But, they don’t understand it’s not so easy to come home from doing eight years and jump into the studio and everything be about music, music, music. Especially when you got kids and a life and your life has been so torn apart by being gone for eight years and you’re coming home and picking up all those pieces, you know? It’s just not that easy of a transition.”

  https://www.instagram.com/p/BYWiYV5hdLC/embed/captioned/?cr=1&v=7&wp=628#%7B%22ci%22%3A0%2C%22os%22%3A10266.615%7D

  https://www.instagram.com/p/BYJkUTLh6LB/embed/captioned/?cr=1&v=7&wp=628#%7B%22ci%22%3A1%2C%22os%22%3A10282.79%7D

  Dondosha comments


  Share this