Ice Cube ndani ya dili na ‘Interscope Records’, cheki ujio mpya

  Share this

  Label ya Interscope Records imeamua kumsogeza memba mwingine wa N.W.A kuungana na Dr Dre.

  Rapper Ice Cube ameingia kwenye moja ya label kubwa ya Interscope Records ambayo kwa muda mwingi imefanikisha kuitendea vyema game ya HipHop, ndani ya label hiyo Ice Cube ataungana na mshikaji wake Dr Dre katika kujaza nguvu zaidi ndani.

  Moja ya kazi ya kwanza ambayo itaachiwa na Interscope Records kutoka kwa Ice Cube ni ujio mpya wa album ya Death Certificate ambayo original yake ilidondoshwa  October 1991, ujio huo ambao ni update utakuwa na ngoma mpya tatu zikiongezwa ndani ya “death Certificate” ambazo ni “Only One Me,” “Dominate the Weak”na“Good Cop, Bad Cop.”

  Album hiyo inatarajiwa kutoka June 2.

  Dondosha comments


  Share this