Inawezekana jina la Album ya Jay Z ‘4:44’ lilitokana na tukio la Solange

  Share this

  Ukiachana na kuamka saa kumi na dakika 44 na kuipa jina la Album yake 4:44, inawezekana Jay z alitumia akili kulikumbuka tukio ambalo alipigwa kofi na Solange katika Bar ya LE BAIN iliyopo ndani ya jengo la Standard High ambapo kulikuwa kumeandikwa 444 ikimaanisha location ya jengo hilo.

  Jay-Z TIDAL X: Jay-Z B-sides in NYC

  Sasa aliyeonganisha tukio hilo ni shabiki mmoja kwenye mtandao wa Twitter ambapo aliposti picha ikiwa inaonyesha namba 444 ikimaanisha location ya Hotel ambayo Jay z alipigwa kofi na Solange.

  Dondosha comments


  Share this