INAWEZEKANA WABONGO TUMEIGA KUTOKA MBELE KWA HIKI ALICHOKIFANYA MWANAMUZIKI JHENE AIKO

  Share this

  Mrembo na muimbaji, Jhene Aiko amejitunuku Tattoo ya sura ya Mzee mzima Big Sean kwenye mkono wake.

  Image result for jhene aiko tattoo big sean

  Jhene Aiko ni moja ya msanii flani hivi ambae huwa anaumiza sana kwenye ngoma zake hata zile ambazo anashirikishwa, Yaani anasauti flani hivi ukisiikiliza basi lazima ngoma uiweke Replay.

  Sasa Info zenye ujazo zinakusanua kwamba, Mrembo huyo baada ya kukamilisha Divorce ya Ndoa yake ya Miaka miwili akiwa na Producer Dot D Genius, Jhene Aiko ameamua kuwaonyesha mapenzi mubashara kwa mashabiki zake kwa kumchora Big Sean kwenye mkono wake.

  Image result for jhene aiko tattoo big sean

  Dondosha comments


  Share this