JOH MAKINI NI LEVO ZA KIMATAIFA

    Share this

    Tukiwa bize kutoa blessing zetu kwa Diamond Platnumz kwa kupostiwa na Dj Khaled, Rick Ross akiwa studio anasikiliza ngoma ya Hallelujah na Swizz Beatz akiahidi kufanya makubwa kwenye ujio wa ngoma yake na Diamond, JOh Makini anatajwa kama moto wa kuotea mbali na radio moja huko South Africa ambapo Davido alikuwa anafanya Interview.

    Mtangazi huyo bhana anasikika kwamba Joh is Fire, kwamba ameshafanya kazi na Aka pamoja na wasanii wengine vilevile amesema kwamba aliwahi kumwambia kwamba Joh Makini anaujio wa Album yake mpya.

    Dondosha comments


    Share this