JUSTIN BIEBER NA SELENA GOMEZ KURUDIANA???

  Share this

  Miongoni mwa maswali mengi ambayo wengi wanajiuliza kuhusuana na watu hawa ni kweli wamerudiana ama ni vipi???Masuperstar  hao kutoka Marekani ambao walishawahi kutoka kimahusi Justin Bierber na Selena Gomez wameendelea kuteka headlines za mitandao mbalimbali duniani kutokana na ukaribu wao siku za hivi karibuni.

  Selena Gomez na Justin wameonekana tena jumapili hii wakiwa pamoja na kupata breakfast pamoja katika mgahawa mmoja uko New York na kuonekana mazungumzo yao kuwa ya siri sana. Kama ulikuwa hujui wawili hao pia walishaonekana wakiwa pamoja tena katika kanisa moja siku kadhaa zilizopita.

  Gari ya Justin ikiwawasili mgahawani hapo

  Gari ya Selena ikiwasili mgahawani hapo

  Well kila mmoja najua anafahamu kwamba mwanadada Selena Gomez mara baada ya kuachana na Justin Bierber miaka kama miwili nyuma akaamua kutoka na msanii TheWeeknd. Sasa vipi kuhusu wawili hao itakuwa wameshaachana au ni namna gani vipi.Na je mzee mzima Weeknd akiona drama hizo zinazoendelea kati yao itakuaje???

  Selena akiwa na Weekend

  Usicheze mbali na Perfect255  kujua kinachoende kati ya couple hizo.

   

  Dondosha comments


  Share this