Kama ilivyotabiliwa, ‘Grateful’ ya Dj Khaled inazidi kupeta tu

    Share this

    Akiwa anasherehekea mafanikio yake kwa kufanya vizuri katika chati za Billboard 200 huko Bahamas, Good Newz nyingine ni kwamba Album ya Dj Khaled “Grateful” imetunukiwa gold certificate kwa kopi 500,000.

    Kupitia mtandao wake wa Twitter Dj Khaled aliamua kushare ujumbe huo kwa kuwaambia mashabiki zake “We did it,Fan Luv!!”, taarifa hiyo iliongozana na ngoma zake kama “Shining” na  “Wild Thoughts,” zikiwa zinafanya vizuri kwa kuuza kopi laki tano.

    Dondosha comments


    Share this