KANYE WEST KUPANDA JUKWAANI KWA MARA YA KWANZA 2017

  Share this

  Kanye West ameonekana kwa mara ya kwanza akiperform jukwaani toka November mwaka jana.

  Kanye alifanya maamuzi yakutofanya show baada ya kuhairisha tour yake ya Saint Pablo. 

  Kama unakumbuka Kanye alikuwa hayupo vizuri kiafya toka aghairishe show hiyo hapo november, lakini ameamua kuwasuprise mashabiki wake kwa tukio hilo na unaambiwa aliumiza vibaya. Kanye West ameonekana katika jukwaa akifanya perfomance katika tamasha la Kid Cud weekend hii apa mtu wangu. Kanye alikuwa pia katika matayarisho ya albamu yake mpya.

  Dondosha comments


  Share this