KANYE WEST NA MKEWE KIM KARDASHIAN WATARAJIA KUONGEZA MTOTO WA KIKE

  Share this

  Familia ya kim Kardashian na Kanye West wanategemea kuongeza mtoto wa pili January mwakani 2018,hii ni kwa mujibu wa dakatari wao kudhibitisha hilo na kwa taarifa ambayo imetolewa na mtandao wa Tmz inasema kwamba mtoto ambaye anategemewa kuja ni mtoto wa kike.

  Kanye West and Kim Kardashian

  Mtoto huyo atakuwa ni mtoto wa tatu katika familia hiyo baada ya mtoto wao Saint mwenye umri wa mwaka mmoja na mtoto wa kwanza North Waste ambaye mapema mwaka huu aliweka wazi juu ya mapenzi yake katika nyimbo hasa za baba yake baada ya kuonekana akipenda kusikiliza nyimbo ya “so amaizing”

  Image result for kanye west and family

  Dondosha comments


  Share this