Kendrick Lamar kuja na mikono ya Swizz Beatz

  Share this

  Baada ya kufanikisha kuuza jumla ya nakala Milioni 2 katika Album yake ya DAMN kwa kufikisha double platnumz, Kaa mkao mkula wa ujio mwingine wa Kendrik na Swizz Beats.

  Kupitia maongezi yao kwenye kurasa ya Instagram ya Swizz Beats, Kendrick Lamar aliamua kufunguka juu ya kushirikiana na Swizz Beatz katika ujio wake mwingine, kama utakumbuka mwaka jana mtoto wa Swizz Beatz,  Egypt Dean mikono yake ilihusikakutengeneza mdundo katika project yake Kendric Lamar ya Untitled Unmastered.

  Kama unavyojua kwa sasa Swiz Beatz yupo katika majigambo ya battle yake na Timber Land

  Dondosha comments


  Share this