Kilo ya Dj Khaled yazua balaa

  Share this

  Wakati akiwa anasherehekea mafanikio ya Album yake ya Grateful kukimbiza mfululizo kwa wiki mbili katika chati ya Bilboard 200 huko Bahamas katika One&Only Ocean Club, zilizuka stori kwamba moja ya farasi aliyekuwa amembeba Dj Khaled kwamba alipatwa na matatizo ya mgongo kutokana na uzito wa Dj Khaled.

  Kupitia posti za Instagram za Dj Khaled zimeonyesha kawaida, kwamba farasi huyo alimbeba Dj Khaled kwa muda na sio kutwa nzima mpaka kufikia kumuacha farasi wa watu na maumivu mazito kutokana kilo ya Dj Khaled kuwa kubwa.

  Ila Kitu kizuri ni kwamba Wawakilishi wa Dj Khaled waliwaambia  Metro UK kwamba taarifa hizo za Uzito wa Dj Khaled kumuumiza farasi sio za kweli, japo luxury resort hiyo Dj Khaled aliyofikia kutoongea chochote kuhusu Sakata hilo, Ishu kubwa iliyobaki ni kwamba Wawakilishi wa Dj Khaled wamzitupia kapuni taarifa hizo na kuziita za uongo.

  Dondosha comments


  Share this