KIMENUKA: CREW YA DAVIDO NA WIZKID WAZICHAPA NGUMI

  Share this

  Katika tamasha la One Africa Festival huko Dubai ambalo mastar wa Africa wameshiriki wakiwemo mastar wa Africa ambao hawako vizuri katika mahusiano yao kimziki

  Hapa tunamuongelea Wizkid na Davido, hiyo Jana katika tamasha ilo ambapo wote walikuwa wanaperform wakati wakiwa “back stage” inasemekana mshikaji wake Davido alimtolea maneno mabaya mkali Wizkid na kupelekea wizkid kumpiga ngumi ya pua mshikaji wake Davido

   

  Kitendo hicho kilipelekea Crew ya Davido na Wizkid kuzikunja wakiwa backstage.

  Inasemekana katika ugomvi huo msanii Sarkodie ameumizwa wakati akijaribu kusuruhisha ugomvi.

  TAZAMA VIDEO HAPA KISHA DONDOSHA COMMENTS YAKO

  Dondosha comments


  Share this