KISA MAFURIKO RAPPER TI AINGIA KWENYE BIFU ZITO NA PASTOR WA KANISA HUKO MAREKANI

  Share this

  Wakati wasanii na watu tofauti tofauti wakiwa wanachangia kutoa misaada mbali mbali kwa Raia waliokuwambwa na mafuriko huko Huoston, Rapper TI naye alichangia yake ya moyoni kwa kuyachana makanisa ambayo yalifunga milango yao kwa ajili ya kuwapa huduma wakazi hao.

  Image result for TI

  Pastor anayefahamika kwa jina la Joel Ostom aliingia kwenye moto wa TI na mashabiki kwa kumsema kwa kitendo chake alichokifanya cha kushindwa kutoa huduma ya kuwahifadhi watu waliokumbwa na majanga hayo.

  TI alitumia kurasa yake ya Insatgram kufikisha ujumbe huo kuonesha kukerwa kwake na makanisa ambayo yapo kiafter money sana.

  Image result for pastor joel ostrom

  Wakati TI na mashabiki wake wakiwa wanalalamika kuhusu sakata hilo, Pastor Joel Ostom aliamua kufungua milango hiyo na kufunguka kwamba anashangazwa na taarifa hizo kutokana na kwamba Kanisa lake haliwezi fanya kitu kama hicho na misaada wameshatoa ya kutosha nabado wanaendelea kusaidia.

  Dondosha comments


  Share this