Kodak Black anamuhitaji Lil wayne kwenye pambano hili..

  Share this

  Rapper Kodak Black bado kama kuna kitu anakihitaji kutoka kwa Lil wayne kuhusu maswala ya nani Rapper Mkali.

  Baada ya Kodak Black kumwambia Lil wayne kwamba “Eat his ass”, sasa kodak black ameamua kuja na ombi jingine kwa Lil wayne kwa kumtaka wapambane kwa ubingwa wa “Best Rapper” kwamba yeye haitaji matrainer kama walivyo Soulja Boy na Chris brown.

  “Tell Lil Wayne fight me, We fin’a get in the ring. We fin’a fight. Me and Lil Wayne. I’m fin’a knock that stupid-ass ni**a out, If he whoop me, he the best rapper alive I’ma beat his stupid ass. I bet everything on it. Since Soulja Boy and Chris Brown are doing it. I don’t even need no trainer. I don’t need Floyd Mayweather or Adrien Broner…Whoever wins, they the best rapper alive.”

  Rapper Lil wayne bado mpaka sasa hajafunguka chochote kile

  Dondosha comments


  Share this