Kumbe bifu la Drake na Luda lilimalizwa hivi….

  Share this

  Ludacris aamua kuweka wazi kuhusu bifu lake na Drake kwamba lilishamalizwaga kitambo hata kabla ya kuja kutangaza kwenye tuzo za Billboard.

  Wakati album ya “Views” ilishinda tuzo ya Top Billboard 200 Album katika utoaji tuzo wa Billboard, Drake alitumia fursa hiyo kufunguka kwamba yeye na Ludacris hakuna tena bifu, Nikukumbushe kwamba bifu la wawili hao lilianza tangu 2010 ambapo Drake aliwahi kusema kwamba Ludacris ni mwizi wa flow.

  Kupitia mahojiano yake na “NY Daily News”, Ludacris aliweka wazi sakata lake na Drake wakati Drake alipopanda stejini kusema kwamba yeye na Ludacris sasa ni fresh, Luda aliongea kusema kwamba “Yaah, kila kitu kipo poa, tulishakuwa na maongezi hata kabla hajafanya hivyo”.

   

   

  Dondosha comments


  Share this