Kumbe kuna muda wasanii wetu wakifanya kama ‘Harmonize’ Instagram inasaidia..

  Share this

  Kumbe kuna wakati wasanii wetu huwa wanakosa amani buree kwa matusi ya mashabiki, kama wakiamua kufanya kama alichofanya Harmonize mambo ni mukide tuu.

  Akiwa anatamba na ngoma kama “Show Me” na “Happy Birthday”, Harmonize alitumia kurasa yake ya Instagram kushare picha ya mzungu wake wakiwa wanakula bata, ila kitu ambacho Harmonize aliiamua kukifanya ni kuzima sehemu ya Comments kutokana na tabia ya mashabiki wengine kutoa mapovu yasiyokuwa na msingi.

  Kuzima comments kunasaidia sana kama mtu hupendi longo longo za maneno katika kurasa zako za mitandaoni na hiyo inaweza kukuoongezea hata amani ya kuposti vitu vyako bila kuwa na wasi, unachofanya ni kuwaachia mashabiki zako uwanja wa Kulike peke yake.

  A post shared by Harmonize (@harmonize_tz) on

  Dondosha comments


  Share this