Kutajwa kwa Jokate kwenye jarida la Forbes, imefanya Rose Ndauka kuamini haya

  Share this

  Baada ya majina ya Watanzania kutokelezea katika jarida la Forbes la wajasiriamali wenye umri chini ya miaka 30, ambao ni Jokate Mwegelo na Lavie Makeup, limemfanya muigizaji Rose Ndauka kuamini kwamba hakuna kitu kinachoshindakana kwenye hii Dunia.

  Kupitia kurasa yake ya Twitter, Rose Ndauka aliamua kuandika jumbe yake kwa kusema kwamba “Kitu ulichokifanya,unatuhakikishia hakuna kitu kinashindaka kwenye hii dunia! Its just a matter to decide and go for it”.

   

   

  Dondosha comments


  Share this