KUTOKANA NA TUKIO ALILOLIFANYA JAY Z KUNA DALILI MEEK MILL KUINGIA KWENYE LEBO YA ROC NATION

  Share this

  Katika kile cha kushangaza msanii Jay z akiwa ana perfom katika tamasha la #madeInAmericaFestival ambalo lilifanyika katika jiji la philadelphia nchini marekani aliwaacha katika taharuki kubwa mashabiki walio hudhuria tamasha hilo.

  Image result for jay z

  Jay z akiwa katikati ya tamasha hilo ghafla aliwapandisha wasanii wawili Meek Mill na Damian Marley ,huku mashabiki wakionekana kupagawa baada ya Jay z kuimba pamoja na Marley nyimbo ya BAM ambayo ipo kwenye Albam mpya ya 4.44 hata hivyo Jay z alifanya show kali huku akiimba nyimbo zake karibu zote zilizo katika albam zake za The Dynasty ,Roc La Familia, The Black Album, Magna Carta Holy Grail, The Blueprint 3.

  Matt Winkelmeyer/Rick Diamond/Theo Wargo , Getty Images (3) Kwa mujibu wa mtandao wa xxl wa marekani umesema watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Jay z amempandisha Meek Mill amepandoshwa katika sho hiyo na wamebaki na maswali mengi ikiwemo je anaelekea kujiunga katika lebo ya Roc Nation,hata hivyo Jigga alitumia show hiyo kutakia kheri mkewe Beyonce katika siku yake ya kuzaliwa,huku watu wakitegemea beyone atakuwepo lakini mrembo huyo akuwepo katika show hiyo.

  Dondosha comments


  Share this