KWA HIKI ALICHOKIFANYA RICK ROSS KWA HUDDAH JE TUTEGEMEE PROJECT MPYA?

  Share this

  Rappa na member wa kundi la Maybach Music Group Rick Ross ameingia kwenye Headline kwenye mitandao ya kijamii hasa Afrika mashariki baada ya kupost picha ya mrembo na mfanya biashara mkubwa nchini kenya na Afrika kwa ujumla nae si mwingine ni mwanadada huddah monroe.

  Image result for rick ross house and cars

  Rick Ross kupitia ukurasa wake wa instagram amempost huddah ambaye hivi karibuni alikuwa nchini Tanzania katika Maonyesho ya matumizi ya make up huku yeye akiwa kama mdau wa urembo kwa kuwa na bidhaa yake aliyo ipa jina la huddah cosmetics

  Kwenye post hiyo ambayo imekuwa gumzo sana mitandaoni ni baada ya hashtag za Rappa Rick Ross kuonyesha kumsifia sana Huddah,Rick Ross ameandika #businesswomen#entrepreneurs#Queens Hashtag hizo zinzua utata kidogo na bado mrembo huyo ajajibu kutokana na post hiyo ya msanii Rick Ross.

  Hata hivyo Rick Ross na Huddah ni miongoni mwa mabalozi wa kinywaji cha Belaire

  Related image

  Dondosha comments


  Share this