Kwa walichokifanya Amber Rose na 21 Savage, umasikini lazima ukuishe

  Share this

  Sio tu kushare mapenzi yao kwenye mitandao ya kijamii au katika kumbi za Klabu, Amber Rose na 21 Savage waamua kufanya kufuru huko Atlanta.

  Kupitia taarifa kutoka TMZ, wamefunguka kwamba Couple hyo ambayo ni Amber Rose na 21 Savage walifanya kufuru ndani ya klabu huko Atlanta ambapo 21 Savage alienda kwa ajili ya kuipromote album yake ya “ISSA”, Unaambiwa ndani ya klabu walitumia kama dola za kimarekani $22,000 ambapo kwa pesa za kibongo ni kama Milioni 49 hivi, alafu zikawa zinarushwa kwa mashabiki tu ndani ya klabu.

   

   

  Dondosha comments


  Share this