KWANINI MAVOKO NI MESSI WA BONGO FLEVA?

  Share this

   

  Msanii kutoka record label ya WCB, Richard Mavoko a.k.a “Messi wa Bongo Fleva” ameeleza sababu ya yeye kuitwa messi wa bongo fleva.

  Mavoko amesema, jina ilo alipewa na rafiki yake ambaye alimwambia kuwa yeye amekuwa mtu wa kupinduapindua muziki, akiona style hii haiendi anakuja na style nyingine kama ilivyo kwa mchezaji Lionel Messi wa Barcelona anavyopindua mchezo na kubadili matokeo pindi timu yake inapokuwa inacheza uwanjani.

  Messi wa bongo fleva na Messi wa Barcelona

  Mavoko ameongeza, kuwa kipindi cha nyuma alikuwa akicheza mpira na alikuwa ni midfielder anayetumia mguu wa kushoto.

  Dondosha comments


  Share this