Kweli Mwanamke aheshimiwe, Cheki huu utunzi wa Mpoto

  Share this

  Utunzi wake katika kila nyimbo huwashangaza wengi na kuwafanya watu watafakari nakujiuliza, Mrisho mpoto aamua kuwapa heshima wanawake kwa staili hii ya utunzi.

  Kupitia kurasa yake ya Instagram, Mrisho mpoto ameamua kufikisha ujumbe kwa mashabiki zake kwamba mwanamke ni mtu wa kumuheshimu hata kwa unafki kwani ukijitia jeuri basi kunakitu utakipata ambacho unakitafuta, ndani ya hadithi yake Mrisho ameonyesha thamani ya mwanamke na katika jamii, Mrisho alianza hivi “KWELI MWANAMKE AHESHIMIWE!! Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua VISA vya wanawake?? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu… Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu… Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!! Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka… Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!! *Nikaondoka na funzo langu*…… *Shikamoo wanawake*… ???

  KWELI MWANAMKE AHESHIMIWE!! Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua VISA vya wanawake?? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu… Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu… Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!! Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka… Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!! *Nikaondoka na funzo langu*…… *Shikamoo wanawake*… 🚢🚢🚢

  A post shared by mjombampoto (@mrishompoto) on

  Dondosha comments


  Share this