LICHA YA PERFOMANCE YA KENDICK LAMAR KATIKA TUZO ZA VMA,HILI NDIO PIGO WALILOLIPATA WAANDAJI

  Share this

  Licha ya kuwa na Performance kali  kutoka kwa Kendrick Lamar, Ed Sheeran na Lil Uzi, Tuzo za VMA mwaka huu zinatajwa kutazamwa na watu wachache na kuwa na Rate mbaya tangu kuanzishwa kwake.

  Image result for vma2017

  Tuzo hizo za MTV MUSIC VIDEO AWARD(VMA 2017) zinatajwa kuwa na Viewers Milioni 5 tu, Sababu kubwa iliyopelekea kuwa na watazamaji wachache siku hiyo ni kwamba, Usiku huo huo, Sehemu ya mwisho ya Game of Throne ilikuwa inarushwa na luninga ya HBO ambapo yenyewe ilikuwa na watazamaji zaidi ya Milioni 12 katika usiku huo.

  Dondosha comments


  Share this