MAJIBU YA DAVIDO BAADA YA TUHUMA NZITO ALIZOKUMBANA NAZO

  Share this

  Baada ya Muigizaji wa Nollywood, Caroline Dunjuamo kudai kwamba Davido ameutelekeza mwili wa mshikaji wake anayefahamika kama tagbo, kutokana walikuwa pamoja siku nzima mpaka umauti unamkuta mshikaji, Davido ameamua kufunguka kuhusu ishu hii kwa majonzi kupitia akaunti yake ya Snapchat.

  Kupitia Snapchat yake, Davido amefunguka kushangazwa na kitendo amabcho wanachokifanya wale washikaji zake ambao huwa anawaita makaka, hata hivyo aliendelea kufunguka kuhusu habari hizo kwamba ni za uongo, ni baadhi ya watu wamejipanga kumuharibia jina lake tu.

  Davido anadai kwamba siku zot ukweli huwa unafahamika na Mungu peke na ameamua kuelezea kwamba hatoweza tena kuongelea sakata hilo.

  Dondosha comments


  Share this