Majibu ya Gudluck Gozbert kuhusu kuiba Wimbo wa Cheche na kumuuzia Ommy Dimpoz

  Share this

  Mara tu baada ya kuachiwa kwa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz ufahamikao kama Chehe zilizuka story kuwa wimbo huo umeibiwa kutoka kwa producer Abby Dad na msanii wake chipikizi afahamikae kama Mo Dollar ambao walikuwa wakidai kuwa wimbo huo ni wakwao.

  Jambo ambalo lilileta gumzo kubwa kitaani ikiwa Ommy Dimpoz tayari alikuwa ame wa-mention Kid Bway pamoja na Lollypop kama waandishi wa wimbo huo, jambo ambalo lilipelekea tuhuma hizo kwenda moja kwamoja hadi kwa wahusika hao.

  Lollypop hakuwahi kuongelea jambo hilo, ila leo kwa mara ya kwanza amefunguka kwenye kipaza cha Perfect255 na kuweka wazi kila kitu kilichotokea katika wimbo huo.

  Unachotakiwa ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kumsikiliza Gudluck Gozbert a.k.a Lollypop akifungukia mchongo huo mwanzo mpaka mwisho.


   

  Dondosha comments


  Share this