Mapenzi raha sanaa, cheki 21 savage anachofanyiwa na Amber Rose

  Share this

  Tumeshazoea kuwaona wasanii wetu wakijiachia kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha mahaba yao kwa mashabiki zao, 21 Savage na Amber Rose waamua kuyaweka wazi zaidi mapenzi yao na ndio moja ya kapo katika ulimwengu wa HipHop ambayo iko free bila kuficha kuficha.

  Kupitia video ambayo inazunguka sana kwenye akaunti tofauti tofauti za Instagram, zinamwonyesha 21 Savage akiwa ametulia huku Amber Rose akicheza na uso wa jamaa akimpaka rangi.

  Ndani ya Video hiyo 21 Savage anasikika akifnguka kwamba “Anafanana na kama mcheza Footbal”.

  Amber na 21 savage unajua ni kapo flani hivi ambayo tofauti na zingine kwa kile kinachoonekana kukaa huru na kushare vitu kibao mitandaoni.

  Dondosha comments


  Share this