Mapovu ya Max Rioba kwa Young Dee baada ya Dee kudai kuwa Tunda ni moja ya sababu za yeye kuondoka MDB

  Share this

  Wiki iliyopita Young Dee alikuwepo kwenye exclusive interview na XXL ya Clouds FM na moja kati ya mambo ambayo alifunguka ni pamoja na sababu za yeye kuondoka kwenye uongozi wa Maxmilian Rioba (MDB) ambapo alimuhusisha mrembo Tunda kuwa moja kat ya sababu za yeye kuondoka MDB.

  Tunda

  Perfect255 imepiga story na Max kuhusiana na kauli ya Young Dee, na Max amefunguka mengi sana kuhusiana na issue hiyo ikiwemo na kukanusha kauli hiyo na kudai kwamba ni matumizi ya madawa ya kulevya na utovu wa nidhamu ndio sababu za Young Dee kuondoka MDB.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kumsikiliza Max akifunguka intro to outro kuhusiana na issue hiyo.


  • Kauli ya Ruge Mutahaba kuhusu kufanikiwa kwa Diamond Platnumz

  Dondosha comments


  Share this