MAYWEATHER ATOA SABABU ZINAZO MFANYA KUWA KWENYE MAHUSIANO NA WANAWAKE SABA

  Share this

  Bondia Floyd Mayweather ametoa sababu za kwanini ana wapenzi zaidi ya moja wakati akihojiwa katika kipindi kimoja huko Marekani,Mayweather ambaye anashikilia rekodi ya kucheza mapambano 50 bila kupoteza amesema “kuwa na mpenzi mmoja nisawa na kutokuwa na mpenzi na yeye si mwanaume ambaye anaridhika kwa kuwa na mpenzi mmoja”

  Mayweather aliongeza kwa kusema “Wapenzi wake wote wanajuana na kuna wakati huwa anatoka nao kwenda safari zake za kwenye starehe,Huku akiongeza kwa kusema kuwa ana akaunti nyingi za benki ambazo zina fedha za kutosha kama $200million,$300million.

  WAPENZI SABA WA MAYWETHER

  Mayweather's rumoured girlfriend Yahaira Vianne OchoaEx-Towie star Abigail ClarkeMayweather pictured with Doralie Medina in March 2016The pair in June 2014The American with Melissa Brim in 2016With British shop assistant Ramarni BallMayweather and his then girlfriend Doralie pose with three other women in 2015The boxing legend also posed for a snap with his former partner as they cosied up in bed

  Dondosha comments


  Share this