MIGOS NDANI YA UJIO WA FILAMU YAO

    Share this

    Kundi la Migos ni kundi flani hivi ambalo limejaa wanyamwezi ambao staili yao ya kuimba humfanya shabiki yani kubang kiaina flani hivi ukiwa unasikiliza ngoma zao, Sasa kama unapata mizuka ya disaini hiyo kwenye ngoma zao, Imagine Unakutana na filamu ya washikaji hao?

    Migos ni moja ya kundi ambalo limejibebea umaarufu mkubwa na ngoma yao ya Look my Dab pamoja na Bad and Buji, wakiwa kwenye mahojiano yao na radio ya Beats 1, Migos walifunguka kuja na filamu yao ambayo Quavo ndio anaye andaa Sricpt nzima kuhusu filamu hiyo.

    Dondosha comments


    Share this