Mr Flavour hatoweza kufutika kwenye moyo wa huyu Kijana

  Share this

  Kuwa msanii haimanishi kwamba ni kuwa na mashabiki wengi wanaokufuata, kuingiza mitonyo mingi, kuwa na majumba ya kifahari, Hapana kuwa Msanii pia unapaswa kuwa kioo kwa jamii na kuwa mfano bora, hivi ndivyo msanii wa Nigeria Mr Flavour alivyoonyesha kama msanii kutimiza ndoto za shabiki wake Semah G.Weifur wa huko Liberia.

  Msanii wa muziki kutoka Afrika, Nigeria Mr Flavour aamua kukamilisha ndoto za kijana  Semah G.Weifur  ambaye ni moja ya mashabiki wa Mr Flavour huko Liberia ambapo alikwenda kwa ajili ya kupiga show, ila tatizo kubwa ambalo analo  Semah G.Weifur  ni ulemavu wa macho, lakini hicho hakikuwa kikwazo cha Mr Flavour kumshirikisha katika video ya wimbo wake wa Most High na kutimiza ndoto aliyokuwa nayo kijana huyo ya kuimba.

   

  Dondosha comments


  Share this