Mtandao wa Spotify umetoa nafasi ya “President of the playlist” kwa Barack Obama

  Share this

  Baada ya kutania kuhusu mtandao wa Spotify kwamba anahitaji nafasi ya kazi baada ya watu wengi kupenda playlist zake, C.E.O wa mtandao wa Spotify amefungua njia kwa Barack Obama na kuamua kutoa nafasi kwa Obama kwenye mtandao huo.

  kupitia kurasa ya twitter ya C.E.O wa Spotify Daniel Ek ameamua kufunguka na kumtafutia nafasi Barack Obama ya “President of the Playlist”

  Spotify ikatoa nafasi ya “President of Playlists,”  katika kufanikisha hilo pia kuna taratibu za kuzifuata ili kujiunga au kuwa President of Playlists

  Katika kila vigezo ambavyo vimewekwa hapo vinamfaa Barack Obama, sasa je akimaliza kuitumikia Ikulu na kumpisha Trump anaweza kuwa “President of Playlist” hapo Spotify”

  Dondosha comments


  Share this