Muziki wa HipHop na RnB umeupoteza kabisa muziki wa Rock

    Share this

    Ngoja niwasunue washikaji zangu, hivi unafahamu kwamba muziki wa HipHop na RnB ndio aina ya muziki ambao umetake over US na kuufunika muziki wa Rock.

    Taarifa hiyo imetolewa na mtandao wa Forbes ambapo inasemakana kwamba muziki wa Rock umepotezwa kabisa katika ulimwengu wa kustream nyimbo,  Ishu kubwa ambayo imefanya muziki wa HipHop na RnB kufanya vizuri ni kwa mafanikio ya mabilioni ya stream ambazo imejijengea watu kama Drake, Kendrick Lamar, Bruno Mars, The Weeknd na wengine kibao ni moja ya watu ambao wamefanikisha kwa silimia kubwa muziki wa RnB na HipHop kuwa tishio kwa mafanikio makubwa ya mabilioni ya Streamz ambazo Album zimejitengenezea.

    Dondosha comments


    Share this