MZIGO MPYA WA EMINEM KUTOKA MWEZI UJAO

  Share this

  Kama utakumbuka hivi karibuni kwenye Info zenye ujazo niliwahi kukusanua kwamba Album ya Eminem imekamilika na Muda wowote kuanzia sasa inaweza ikatoka, Lakini baada ya muda mfupi kupita yule mshikaji wa karibu wa Eminem aliyetangaza kuhusu ujio alikuja kufunguka tena upya kudai kwamba alikuwa natania kuhusu Album hiyo kwasababu yeye siyo msemaji mkuu.

  Image result for eminem 2016

  Sasa Ujazo mwingine ambao tumeupata kutoka Daily Double inasema kwamba Album hiyo inatoka Novemba 17 mwaka huu, yaani wanavyodai kwamba hiyo ni uhakika juu ya info hiyo.

  Dondosha comments


  Share this