Nicki Minaj aamua kuileta “Swalla” hivi..

  Share this

  Nicki Minaj ameamua kutokukaa kimya kuwaburudisha mashabiki zake kwa kuachia remix ya wimbo wa “Swalla” ambao alisilikishwa na Jason Derulo pamoja na ty dollar Sign.

  Kupitia katika kurasa yake ya Instagram, Nicki Minaj aliandika kwa kusema kwamba,  “I never do remixes for features & have never done an acoustic version for anything officially, When I tell u this shit right here is HARD AF!!!!!!!!!!!! This shit is a fkng VIBE!!!!!!!!!!!!!! ? midnight ?????? @jasonderulo @tydollasign

   

  Dondosha comments


  Share this