Nikk wa pili afunguka haya baada ya Alberto Msando kuomba radhi

  Share this

  Rapper Nikki wa pili aamua kulipuliza janga la Alberto Msando kwa kupunguza makali baada ya video yake kusambaa mitandaoni akiwa na Gigi Money.

  Kama ulikuwa karibu na kurasa yako ya Instagram ya Perfectotv najua ulikutana na video ambayo inamwonesha mwanasheria wa hapa Bongo Alberto Msando akijiachia na Gigi Money huku akimshika sehemu za siri, Bad Newz ni kwamba mashabiki wengi hawakupendezwa na jambo hilo na kutoa maoni tofauti tofauti kuhusu Msando.

  Kwa kukubali kosa, Alberto Msando aliamua kutumia kurasa yake ya Instagram kuwaomba radhi mashabiki na marafiki zake wote ambao aliwakwaza kwa video hiyo iliyosambaa mtandaoni.”Nikikaa kimya nitakua mnafiki. Nimekosea. Kilichotokea hakikupaswa kutokea. I will be a man enough and say sorry kwa wote ambao nimewakwaza na kuwaangusha. Am so sorry. But the beauty of all this is we all are human. Kuna watu ambao wamekuwa wepesi kuhukumu. Siwalaumu. Ni sawa na ni haki yao. I made a stupid mistake. I take full responsibility. Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. It could have been worse. And to all those who took time to text I appreciate. Thats friendship. #TheDon #Hennessy #TheClip” Aliandika Alberto Msando

  Hata hivyo msanii Nikki wa Pili hakuwa nyuma kumtetea kwa kusema kwamba “Unapopatwa na jambo kubwa ni vyema kujitokeza na kulisemea…@albertomsando….. wote tuna upande wetu wa giza.. ndio mana tunaomba na kutubu kila siku.. ndio maana ya kanisa kuwa wazi kila siku na kuwapo na sala tano……. Amekosea @albertomsando ……… nin maoni yako”

   

  Dondosha comments


  Share this