Noma sana..Joe Budden na Amber Rose ndani ya bafu moja

  Share this

  Amber Rose na rapper Joe Budden wawaweka kwenye wakati mgumu mashabiki baada ya wawili hao kutumia muda mrefu bafuni kudai kwamba walikuwa na maongezi ya faragha.

  Image result for joe budden and amber rose

  Kupitia picha ambayo imepostiwa na rapper Joe Budden akiwa na mtoto mkali Amber Rose imewafanya mashabiki kujiuliza maswali kwamba hiyo picha imepigwa kwa ajili gani, kwa sababu upande wa pili wa shilingi wa Amber Rose amekuwa kwenye headlines nyingi mitandaoni kuweka mapenzi yake hadharani na 21 Savage.

  Maswali yamebaki kwamba 21 Savage atalichukuliaje hili swala kwasababu mtoto wa kike kupiga picha na mwanaume bafuni sio jambo dogo, jambo zito..

  Image result for joe budden and amber rose

  Dondosha comments


  Share this