NYASHINSKI NDANI YA TAMBARA HILI

  Share this

  Bhana majina ya wanaowania tuzo za MTV EMA 2017 yameshatoka, tumeshazoea kuyaona majina ya wasanii wetu Diamond Platnumz na Alikiba kushine kipengele hiko, This time around rapper Nyashinski kutoka Kenya ndio ameibeba bendera ya Afrika Mashariki kwenye tuzo hizo.

  Unajua Nyashinski ni moja ya wasnaii ambao wenye uwezo wa kuimba na Kurap kwa asilimia kubwa sana, katika tuzo hizo zinazotarajiwa kunukishwa Jijini London Novemba 13 mwaka huu, Nyashinski amewekwa kwenye kategori ya BEST AFRICAN ACT akiwa anachuana na wakongwe wa sekta hizo ambao ni kina Davido, Wizkid, Bebes Wodumo, C4 pedro na Nasty C.

  Ukirudi nyuma mwaka jana, Tuzo hiyo ilibebwa na mzee wa Seduce Me, King Kiba baada ya kutokea kimakosa kwa kukabidhiwa Wizkid, nakumbuka kipindi hiki Mashabiki walikuwa wanaenda hadi kwenye Instagram Akaunti ya Wizkid kulalamika kuhusu tuzo hiyo.

  TAZAMA FFULL LISTI HPA

  Best Song

  Clean Bandit, “Rockabye” f. Sean Paul & Anne-Marie
  DJ Khaled, “Wild Thoughts” f. Rihanna, Bryson Tiller
  Ed Sheeran, “Shape of You”
  Luis Fonsi & Daddy Yankee – “Despacito” (Remix) f. Justin Bieber
  Shawn Mendes, “There’s Nothing Holdin’ Me Back”

  Best Artist

  Ariana Grande
  Ed Sheeran
  Kendrick Lamar
  Miley Cyrus
  Shawn Mendes
  Taylor Swift

  Best Look

  Dua Lipa
  Harry Styles
  Rita Ora
  Taylor Swift
  Zayn

  Best New

  Dua Lipa
  Julia Michaels
  Khalid
  Kyle
  Rag’n’Bone Man

  Best Pop

  Camila Cabello
  Demi Lovato
  Miley Cyrus
  Shawn Mendes
  Taylor Swift

  Best Video

  Foo Fighters, “Run”
  Katy Perry, “Bon Appetit” ft. Migos
  Kendrick Lamar, “Humble”
  Kyle, “iSpy” f. Lil Yachty
  Taylor Swift, “Look What You Made Me Do'”

  Best Live

  Bruno Mars
  Coldplay
  Ed Sheeran
  Eminem
  U2

  Best Electronic

  Calvin Harris
  David Guetta
  Major Lazer
  Martin Garrix
  The Chainsmokers

  Best Rock

  Coldplay
  Foo Fighters
  Royal Blood
  The Killers
  U2

  Best Hip Hop

  Drake
  Eminem
  Future
  Kendrick Lamar
  Post Malone

  Best Alternative

  Imagine Dragons
  Lana Del Rey
  Lorde
  The xx
  Thirty Seconds to Mars

  Biggest Fans

  Ariana Grande
  Justin Bieber
  Katy Perry
  Shawn Mendes
  Taylor Swift

  Best Push

  Hailee Steinfeld
  Jon Bellion
  Julia Michaels
  Kacy Hill
  Khalid
  Kyle
  Noah Cyrus
  Petite Meller
  Rag’n’Bone Man
  SZA
  The Head and The Heart

  Dondosha comments


  Share this