NYOTA YA ASLAY NI SHIDAAH,TEGEMEA COLLABO YAKE MPYA NA KUNDI KUBWA BARANI AFRIKA

  Share this

  Haijalishi ni staili gani ambayo huwa unaitumia katika kuachia ngoma zako, swali ni kwamba, Je unawashibisha ujazo mzuri mashabiki zako?, Aslay Isihaka ni moja ya msanii hapa Bongo ambae amekuja na staili yake ya kutoa hit juu ya hit ambayo mwisho wa siku kila moyo wa shabiki wa bongo fleva lazima ufurahi.

  Image result for art the band from kenya

   

  Sasa tutegemee kuona mengine makubwa kutoka kwa Aslay Isihaka akishirikiana na kundi kutoka nchini #kenya la @h_arttheband ambalo limeumiza sana kwa ngoma kama #nikikutazama pamoja na #ulizakiatu.

  Related image

  Kupitia kurasa yao ya instagram, kundi la @h_arttheband limeamua kushare hisia zao na mashabiki wao juu ya ladha ambayo anaitoa #aslay kwenye muziki wa Bongo Fleva.

  Dondosha comments


  Share this