PAUL WA P SQUARE ANA JAMBO AMBALO ULIKUWA HULIFAHAMU

  Share this

  Drama ya kundi la P Square bado linaendelea, This time around bhana Paul wa P Square ametoa povu lake kwenye kurasa yake ya Twitter kudai kwamba amefanya kosa kubwa sana katika maisha yake kwa kuitoa ngoma ya “Bank Alert” kuwa kama ya kundi.

  Ugomvi wao unazidi kukua sasa mpaka kufikia hatua ya kuanza kutoa siri za ndani za kundi, wengi tulikuwa tunafahamu kwamba wimbo wa “Bank Alert” ni moja ya ngoma ya P Square, ila ukweli ni kwamba ngoma ya BANK ALERT ilikuwa ni ya Paul, ila akaamua kuiweka kama ya kundi kwa kumuweka ndugu yake Peter.

  Kupitia kurasa yake ya Twitter, Paul aliandika kwamba “I MADE A SERIOUS MISTAKE LAST YEAR, THE DAY I WAS SHOOTING MY FIRST EVER SOLO MUSIC VIDEO BANK ALERT, REGRET, I WONT BE DECEIVED DIS TIME.”

   

  Dondosha comments


  Share this