Picha: Cheki alichofanya Mac Miller baada ya Ariana Grande kuwasili salama nyumbani

  Share this

  Wakati akiwa amerejea nyumbani baada ya tukio baya la bomu kutokea huko Manchester katika show yake, Mac Miller hakuwa nyuma kwenda kumpa faraja mpenzi wake Ariana Grande alipowasili nyumbani.

  Mac Miller & Ariana Grande

  Ni takribani watu 22 walifariki katika shambulio hilo la kigaidi huku 50 wakiwa majeruhi, ndani ya show yake, Ariana Grande alikuwa pamoja na mama yake, Joan ambaye alikuwa akisaidia shughuli zote kuwaokoa waliohudhuria kwenye tamasha hilo backsatge na machafuko hayo ya Bomu baada ya kutokea.

  Kupitia picha zilizopigwa wakati Ariana Grande akiwa amewasili Boca Raton, mpenzi wake Mac Miller alikuwa mstari wa mbele katika kumpa faraja Grande kwa hug na kisses.

  Mac Miller & Ariana Grande

  Mac Miller & Ariana Grande

  Mac Miller & Ariana Grande

  Dondosha comments


  Share this