Picha: Cheki jina la mtoto wa Dj Khaled litakavyoshine shingoni

  Share this

  Moja ya maproducer ambao wameanza kuuchafua mwaka wa 2017 kwa ushindi wa hali ya juu kila kona, namzungumzia Dj Khaled akifanya vizuri na ngoma yake ya “im the One”.

  Tukiwa bado tuna maswali tunajiuliza katika ujio huu wa Album mpya ya Dj Khaled, kwamba kama “im the One” imetengeneza rekodi kubwa kwa wiki mbili, vipi kolabo yake na Drake au na Rihanna au Album yenyewe “Grateful”?, kupitia kurasa yake ya Instagram Dj Khaled ameamua kushare na mashabiki zake mikufu yake mipya ambayo inaonekana sio ya mchezo mchezo katika sekta ya mitonyo.

  Sio tu kumpa cheo cha executive Producer katika album ya “Grateful”, Dj Khaled anamkufu wenye jina la Ahsad, huku mwingine mkufu wenye jina la Allah na mingine ikionyesha funguo zake ambazo zinamaanisha Major Keyz.

  A post shared by DJ KHALED (@djkhaled) on

  Dondosha comments


  Share this