Picha: Cheki mjengo mpya wa dola milioni 20 wa The Weeknd

  Share this

  The Weeknd sasa ni full kujiachia na Selena Gomez kwenye mjengo wake mpya huko L.A alioununua kwa mtonyo wa dola milioni 20.

  Kupitia ripoti ambayo imetolewa na mtandao wa TMZ, umeeleza kwamba, The Weeknd amenunua mjengo mpya kwa dola milioni 20 huku ukiwa na vitu vya kinyama, unaambiwa mjengo huo unavyumba vya kulala 9, mabafu 11, nyuma ya kulala wageni, home theatre.

  The Weeknd's LA mansion

  The Weeknd's LA mansion

  The Weeknd's LA mansion

  The Weeknd's LA mansion

  The Weeknd's LA mansion

  The Weeknd's LA mansion

  The Weeknd's LA mansion

   

  Dondosha comments


  Share this