Picha: Cheki Neymar alivyoshare Lov kwa Tyga

  Share this

  Mnyamwezi Tyga aamua kuiwakilisha jezi mpya ya Barcelona ikiwa na jina la Neymar chini ikiwa na autographed.

  Kupitia kurasa yake ya Instagram, Tyga aliamua kushare picha ya Uzi huo mpya wa klabu ya Barcelona na mashabiki wake wapatao milioni 12 ukiwa umeandikwa jina la NeyMar mgongoni huku kukiwa na saini flani hivi ya kinyama alafu picha ikasindikizwa na caption ya kiemoji kimenyoosha mikono juu alafu imeandikwa “Barcelona”.

   

  Dondosha comments


  Share this