Picha: Chris Brown na binti yake ‘Royalty’ hadi raha yaani

  Share this

  Linapokuja swala la mtoto wake Chris Brown huwa mstari wa mbele kuonyesha umuhimu wake kama Baba.

  Katika siku ya kuzaliwa mtoto wake Royalty akiwa anatimiza miaka mitatu wikiendi iliyopita, Chris Brown aamua kuitengeneza siku hiyo ya mwanae kuwa siku ya kihistoria na ya kumbukumbu katika maisha yake.

  Kupitia kurasa ya Instagram ya Chris Brown aliamua kushare picha akiwa na binti yake wanasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

  ❤️

  A post shared by 💔🌕🏆 🔥 (@chrisbrownofficial) on

  Dondosha comments


  Share this