Picha: Hapa ubishi kwisha penzi la Travis Scott na Kylie Jenner, jionee

  Share this

  Penzi la Travis Scott na Kylie Jenner sasa ni Offical.

  Cover

  Baada ya kuwa na stori kuhusu mahusiano yao kuonekana sehemu tofauti tofauti wakiwa pamoja, watu wakaribu na Kylie Jenner wathibitisha kwamba Travis Scott ndio anakamatia usukani kwa mtoto mkali Kylie.

  Kylie ambae alikuwa na mahusiano na rapper Tyga na kubomoka kipindi cha Mwezi wa nne, sasa Stori ni Kylie na Travis Scott penzi likiwa limeshamiri.

  Dondosha comments


  Share this