Picha: Pita pita za rapper Rosa Ree ni nomaaa

  Share this

  The Goddes rapper herself, namzungumzia Rosa Ree, katika pitapita zake kajikuta kadondoka kwa mnyamwezi kutoka Afrika Kusini namzungumzia Nasty C.

  Moja ya marapper wa kike hapa Bongo ambao wamepewa blessing za kutosha na Joh Makini kutokana na kazi zake kuwa nzuri na za kitofauti katika game ya HipHop, zilidondoka kwa Rosa Ree kutoka The Industry, ambaye anaumiza kitaani na ngoma kama “Up in The Air”, pamoja na “One Time”, Sasa balaa limedondoka katika kurasa yake baada ya kuposti picha akiwa na rapper Nasty C ambapo imewafanya mashabiki kushika vichwa kwa kolabo ambayo itakuja kwa wawili hao itakuwa sio ya mchezo mchezo kutokana na wote wanaswaga za kinyamwez.

  Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rosa Ree aliposti picha akiwa na Nasty C, huku akiisindikiza na caption inayosema kwamba, Just imagine this duo??? Such a pleasure meeting great talents such as @nasty_csa katika pita pita zangu…. #WeAreTheIndustry ???

  Dondosha comments


  Share this