Picha: Tiwa savage kuja na kolabo ya kufa mtu

  Share this

  Baada ya kutamba na kibao cha BAD ambacho kinafanya vizuri kwa sasa kila kona ya Afrika, Tiwa Savage kuingia studio na Awilo longomba.

  @awilolongomba coming soon

  A post shared by Tiwa Savage (@tiwasavage) on

  Tiwa Savage ameamua kuongeza ladha kwenye muziki wake kwa kuamua kupiga kolabo na Awilo longoma, sasa kupitia kurasa ya Instagram ya Tiwa Savage ameposti picha ambayo yupo studio pamoja na Awilo huku akiiweka Caption ya “Coming soon”.

  Coming soon @awilolongomba such a honor 🙌🙏🏽 #Hello'17

  A post shared by Tiwa Savage (@tiwasavage) on

   

  Dondosha comments


  Share this